Home > Terms > Swahili (SW) > imani inayoashiria kuwa vitu vyote vina vina roho

imani inayoashiria kuwa vitu vyote vina vina roho

Dhana inayoashria kuwa vitu vyote vina uhai ni aina ya dini iliyo juu ya imani kwamba roho huishi ndani ya vitu vyote vyenye uhai na visivyo na uhai kama vile miti, mawe, mawingu, upepo au Wanyama.

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Culture
  • Category: Social media
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: New year

azimio ya mwaka mpya

Azimio ya mwaka mpya ni ahadi ambayo mtu hufanya kwa lengo moja au zaidi ya kibinafsi, miradi, au kuleta mageuzi ya tabia. Hii mabadiliko ya maisha ...

Contributor

Featured blossaries

Christmas Facts

Category: Culture   1 4 Terms

test

Category: Other   1 1 Terms