Home > Terms > Swahili (SW) > amri kumi za Mungu

amri kumi za Mungu

Amri kumi (kwa uhalisi, "maneno kumi") ziliotolewa na Mungu kwa Musa kwenye mlima wa Sinai. Ili kuwa waaminifu kwa mafundisho ya Yesu, amri kumi za Mungu lazima zitafsiriwe katika mwanga wa amri kuu ya upendo kwa Mungu na jirani (2055, 2056). Angalia Amri.

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Religion
  • Category: Catholic church
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Christmas

vipuzi

Aina ya vijitia inayometameta na mapambo,iliyotengenezwa siku za jadi kwa kutumia kioo, iliotumika katika mapambo ya Krismasi.

Featured blossaries

Idioms Only Brits Understand

Category: Culture   1 6 Terms

Mars

Category: Science   2 5 Terms