Home > Terms > Swahili (SW) > Agano jipya.

Agano jipya.

Kizazi kipya, mpangilio au agano, lililoanzishwa na Mungu katika Christo, kurithi na kufanya agano la kale kamilifu

(cf.612,839). Sheria mpya au sheria ya injili ni kutimia hapa duniani ile sheria ya kiungu,kimaumbile na iliyofunuliwa; hii sheria ya agano jipya pia huitwa sheria ya upendo, neema na uhuru

(1965-1972). Ona agano, injili, sheria ya.

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Religion
  • Category: Catholic church
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 12

    Followers

Industry/Domain: Personal life Category: Divorce

sherhe ya talaka

sherehe rasmi ya mwisho rasmi ndoa na talaka kubadilishana viapo na kurudi pete ya harusi. Kama talaka inakuwa zaidi ya kawaida, sherehe ya talaka ...