Home > Terms > Swahili (SW) > batamzinga huru

batamzinga huru

Batamzinga huru ni wale ambao wanaruhusiwa kujitosa katika pori mara kwa mara ili nyama yao iwe bora. Hata hivyo, wakulima wengi hufungua tu sehemu ya nyumba batamzinga yao kwa yadi ya kawaida kwa kipindi kifupi kwa siku ili waweze kuitwa hivi. Wafugaji wa batamzinga wanasita kuwachilia ndege yao kuzurura uhuru kutokana na madhara ya kuongezeka kwa kazo, magonjwa, wadudu, na joto la juu ya kundi zima.

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Festivals
  • Category: Thanksgiving
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Jonah Ondieki
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Education Category: Teaching

zao la kusoma

Ni tokeo la mchakato wa kusoma; yaaani kile mtu/mwanafuzi amesoma.